Nini maana ya GetTor?

GetTor ni huduma ambayo inatoa njia mbadala kwa kusasisha Tor Browser, haswa kwa watu waoishi kwenye maeneo ya udhibiti mkubwa, wa kufikia tovuti ya Tor Project imezuiliwa.

inafanyaje kazi?

Wazo la nyuma la GetTor ni rahisi sana:

  • hatua ya 1:tuma maombi kwenye GetTor (gettor@torproject.org) mfumo wako maalumu wa uendeshwaji (na katika eneo lako) mfano:"windows es"

  • hatua ya 2:GetTor itakutumia tena jibu kupitia kiunganishi kwa kupakua Tor Browser kutoka watoa huduma wetu wasaidizi.

  • Hatua ya 3: Pakua Tor Browser kutoka kwa mmoja wa watoa huduma. Kama tayari, angalia kwa uadilifu faili lililopakuliwa kwa kuhakikisha sahihi.

  • Hatua ya 4: Kama mehitaji, kupata baadhi ya taarifa!

pata GetTor kwenye Telegram

Unaweza ukaomba kupokea Tor Browser bunle kupitia @GetTor_bot on Telegram: https://t.me/gettor_bot

Pata jibu la GetTor kwenye Twitter

GetTor kwa sasa haifanyikazi kwenye Twitter.

utadhibitishaje digital signature

Digital signature ni mfumo unaohakikisha kua kifurushi fulani kilitolewa na watengenezaji na haikuharibiwa.

Kwenye email ya GetTor tunatoa kiungo katika faili ilikiwa na jina moja kama kiifurushi kinachounganishwa ".asc". hili faili lina funguliwa na sahihi ya PGP. Itakuruhusu kuthibitisha faili ulilo sasisha ambalo hasa tulilikusudia upate. Kwa mfano,torbrowser-install-win64-8.5.4_en-US.exeimeongozana natorbrowser-install-win64-8.5.4_en-US.exe.asc.

Angalia jinsi gani utadhibitisha digital signature.

nimeweza kupakua Tor Browser lakini bado haiwezi kuunganishwa

Jaribu kuunganisha kupitiabridge.